Back to home
Kesi ya mauaji ya Lucy Wambui Nganga yaendelea Kibera
video
C
Citizen TV (Youtube)January 20, 2026
2h ago
Kesi kuhusu utepetevu wa kliniki ya ulimbwende ya body by design inayohusishwa na mauaji ya mfanyabiashara Lucy Wambui Nganga iliendelea katika mahakama ya Kibera. Hapo jana, mumewe marehemu Francis Nganga alitoa ushahidi wake akidai kuwa kliniki hiyo ilikosa wataalam na ufahamu
Advertisement
Advertisement




