Back to home
Mtu mmoja azuiliwa Kisumu baada ya kukamatwa bangi Sh4m
video
C
Citizen TV (Youtube)January 20, 2026
2h ago
Mtu mmoja amezuiliwa na maafisa wa polisi katika operesheni dhidi ya dawa za kulevya huko Kisumu ambapo bangi ya thamani ya shilingi milioni nne ilinaswa. Mshukiwa huyo anadaiwa kuhusika na uuzaji wa dawa za kulevya huku mafungu zaidi ya bangi yalipatikana karibu na shule ya upil
Advertisement
Advertisement



