Back to home

KAA yaahidi kuimarisha angatua ya matulo kaunti ya Busia

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 21, 2026
3h ago
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini Caleb Kositany amewarai wakaazi wa webuye kudumisha usalama katika mchakato mzima wa kuanzishwa kwa safari za ndege eneo hilo.
Advertisement