Back to home
Wakaazi wa Funzi, Msambweni wapania kujiimarisha kupitia kilimo
video
C
Citizen TV (Youtube)January 21, 2026
2h ago
Baadhi ya wakaazi wa maeneo ya Funzi na Msambweni katika kaunti ya Kwale wameweka makubaliano ya kuwekeza katika kilimo cha kisasa na ujenzi wa bandari kwenye mashamba yao.
Wakaazi hao wameweka makubaliano hayo na kampuni ya Conkrite Capital kutoka Canada ambapo mapato ya kilimo
Advertisement
Advertisement




