Back to home

Timu ya taifa ya Kenya ya futsal wasili Namibia kwa mechi ya kufuzu Afrika

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 21, 2026
2h ago
Timu ya taifa ya kenya mchezo wa futsal imewasili Namibia tayari kukabiliana na wenyeji siku ya ijumaa kwenye mechi ya mkondo wa kwanza ya kufuzu mchuano wa bara Afrika.
Advertisement