Back to home
Peter Njenga wa Kasarani ashinda Sh. 500,000 katika shindano la Sort January
video
C
Citizen TV (Youtube)January 21, 2026
2h ago
Peter Njenga, mkazi wa Kasarani jijini Nairobi, amejishindia shilingi nusu milioni katika shindano la Sort January Kishabiki. Njenga anasema kucheza pole pole na kwa umakini kila siku ndio kulimpa ushindi huu. Amesema atatumia fedha hizo kuwekeza katika biashara ili kukimu famili
Advertisement
Advertisement




