Back to home

Jitihada za kumlinda swara aina ya Maountain Bongo

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 22, 2026
2h ago
Kama njia ya kuhakikisha swara aina ya mountain bongo anaendelea kuongezeka kwa idadi baada ya kuwa kwenye hatari ya kuangamia, wadau wanaoshiriki uhifadhi wa wanyamapori, wamezindua mpango wa Centinella, ambao unazishirikisha satelaiti kuwafuatilia Wanyama hao kwa nia ya kubaini
Advertisement