Back to home

Kiapo cha wafanyakazi Makueni

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 22, 2026
3h ago
Bodi ya uajiri wa wafanyakazi wa umma kaunti ya Makueni imeanzisha zoezi la mwezi mmoja la kuwalisha kiapo cha utendakazi cha siri kwa wafanyikazi wa umma ili kuhakikisha wanazingatia sheria. Mwenyekiti wa bodi hiyo Benjamin Kioko KasaMBA amesema zoezi hilo litakamilika mwishoni
Advertisement