Back to home

Nyumba za Nafuu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 23, 2026
4h ago
Serikali inapania kuwapa ajira waliofuzu kutoka vyuo vikuu kwa kuwajumuisha kwenye mpango wa ujenzi wa nyumba za nafuu. Rais William Ruto anakutana na wanafunzi waliofuzu katika ikulu ya nairobi ili kuzindua mpango huo.
Advertisement