Back to home

Ubishi wa barabara Kilifi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 23, 2026
4h ago
Wakazi wa Mariakani kaunti ya Kilifi wameandamana hadi katika afisi za kampuni ya ujenzi wa barabara kuu ya Mombasa -Nairobi wakilalamikia kutohusishwa katika ujenzi wa barabara ya kutoka Mombasa hadi Mariakani. Wakazi hao wamesema kuwa kampuni ya inayojenga barabara hiyo imekata
Advertisement