Back to home

Usafi wa maji na Mazingira

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 23, 2026
4h ago
Serikali ya Kenya inatoa shilingi bilioni 4.3 kila mwaka kukabiliana na madhara yanayotokana na kutozingatia usafi wa maji na mazingira. Taifa pia linapoteza shilingi bilioni 2.1 kila mwaka kutokana na magonjwa ya wafanyikazi wanaokosa kufanya kazi kwasababu ya afya zao kudhoofik
Advertisement