Back to home

Sheria za miraa Meru

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 23, 2026
4h ago
Wakulima wa Miraa Kaunti ya Meru wana matumaini ya kupata mapato bora zaidi kutoka kwa zao la Miraa, Baada ya gavana kutia saini sheria mpya ya Miraa. Sheria hiyo itatoa mwongozo wa uuzaji, na ukulima wa Miraa. Hii dnio sheria ya kwanza ya Miraa Kaunti ya Meru ambayo inatoa mwong
Advertisement