Back to home
Mtawa Markina Nyambura asherehekea miaka 70 ya huduma kanisani
video
C
Citizen TV (Youtube)January 24, 2026
9h ago
Familia, marafiki na waumini wa kanisa katoliki walijumuika kusherehekea huduma za Mtawa Markina Nyambura ambaye alitembea kwa miguu kwa zaidi ya kilomita 60 alipokuwa na umri wa miaka 17, ili kujiunga na muungano wa watawa wa Mary immaculate kaunti ya Nyeri. Tangu siku hiyo, mia
Advertisement
Advertisement

