Back to home
Mradi wa ujenzi watoa matumaini kwa maelfu ya wajane
video
C
Citizen TV (Youtube)January 24, 2026
9h ago
Licha ya kuwepo kwa sheria ya kuzuia unyanyapaa wa wajane humu nchini, maelfu bado wanakumbwa na madhila. Mara nyingi kupokonywa urithi kumekuwa changamoto kubwa kwa wajane na wana wao, wengine hata wakikosa nyumba za kuwasitiri. Hata hivyo, mradi wa ujenzi unaolenga wajane unaba
Advertisement
Advertisement





