Back to home

Atwoli arai vijana kuunga mkono rais Ruto

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 24, 2026
2h ago
Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanykazi nchini Francis Atwoli amewasihi vijana kuunga mkono juhudi za rais William Ruto kwa kile anachotaja kuwa ana maono ya kuwafaidi vijana. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyan
Advertisement