Back to home
Biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda inaendelea licha ya marufuku
video
C
Citizen TV (Youtube)January 24, 2026
8h ago
Biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda bado ipo licha ya marufuku iliyowekwa. Katika kaunti za Turkana, Machakos na Embu, mnyama huyu anayetegemewa na wengi sasa yuko katika hatari ya kuangamia. Na kama anavyoarifu evans asiba kwenye sehemu ya kwanza ya makala maalum ya punda
Advertisement
Advertisement




