Back to home

Wakazi waandamana kisiwani Manda, Lamu, kulalamikia uwekezaji wa mbuga

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
5d ago
Wakaazi wa Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu wameandamana kupinga mradi wa mbuga ya wanyama pori kupitia mwekezaji wa kigeni katika Kisiwa hicho. Wakazi hao wakisema kuwa tayari mwekezaji huyo ameanza shughuli katika eneo hilo huku akiruhusu wanyama pori karibu na makaazi yao. Sasa
Advertisement