Back to home

Ukame wa muda mrefu eneo la Mandera waacha wafugaji kwenye njia panda

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 26, 2026
4h ago
Ufugaji wa mifugo unabaki kuwa uti wa mgongo wa riziki katika kaunti ya Mandera, huku maeneo mengi yakitegemea ng'ombe, mbuzi, kondoo, na ngamia kukidhi mahitaji ya kila siku. hata hivyo, ukame wa muda mrefu unaokumba eneo hilo umetoa pigo kubwa kwa jamii za wafugaji, huku hasar
Advertisement