Back to home

Rais athibitisha mazungumzo ya muungano wa UDA na ODM kuelekea 2027

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
1h ago
Baraza Kuu la chama cha UDA limeidhinisha kuendelezwa kwa mazungumzo ya kubuni muungano wa kisiasa na chama cha ODM kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza kwenye mkutano huo uliofanyika ikulu ya Nairobi, rais William Ruto amesema kuwa chama cha UDA kupitia ush
Advertisement