Back to home

Changamoto za elimu Laikipia zawalazimisha wanafunzi kusoma chini ya mti bila vifaa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 27, 2026
2h ago
Katika eneo la Laikipia Kaskazini, elimu imegeuka kuwa mapambano ya kila siku dhidi ya hali ya hewa, njaa, kutelekezwa na ukosefu wa usalama. Katika shule ya chekechea cha Namunyak, miti imekuwa madarasa, vitabu ni vya ardhini na usalama sio wenye uhakika. Watoto wenye ari ya kup
Advertisement