Back to home
Mfanyabiashara George Gathu azikwa Gikororo Mathira baada ya kuuawa na polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 27, 2026
2h ago
Mfanyabiashara George Gathu, aliyeuawa kwa Kupigwa risasi na afisa wa polisi mjini Karatina siku 10 zilizopita amezikwa nyumbani kwao kijijini Gikororo eneo bunge la Mathira kaunti ya Nyeri, huku kilio cha haki kwa familia yake kikisheheni
Advertisement
Advertisement




