Back to home
Bandari fc yaungana na Tusker na Kakamega homeboyz kileleni mwa ligi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 28, 2026
5h ago
Bandari fc imejiunga na Tusker Fc, Muranga seal na Kakamega homeboyz kwa pointi 27 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Kenya baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi Kenya Police katika uwanja wa mbaraki mjini Mombasa
Advertisement
Advertisement



