Back to home
Kennedy Aura afuta wasi wasi wa kifedha kwa kushinda nusu milioni
video
C
Citizen TV (Youtube)January 28, 2026
4h ago
Kennedy Aura kutoka Ruaka, Kaunti ya Kiambu, amefuta wasiwasi wa kifedha wa mwezi Januari baada ya kushinda shilingi nusu milioni katika shindano linaloendelea la Sort Njaanuary KiShabiki.
Advertisement
Advertisement





