Back to home
Hila ya hisa?
video
C
Citizen TV (Youtube)January 29, 2026
2h ago
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro anasisitiza kuwa uuzaji wa asilimia 15 ya hisa za kampuni ya safaricom zinazomilikiwa na serikali zitawakosesha wakenya nafasi ya kupata faida zaidi.
Nyoro anasema kuwa uuzaji wa hisa hizo kwa shilingi bilioni 204 kunadunisha thamani ya kampuni hiyo
Advertisement
Advertisement




