Back to home

Familia ya Nyamira yamtafuta mwanafunzi aliyeponyoka kutoka shule ya Etono SDA

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 29, 2026
2h ago
Familia moja kutoka kijiji cha Suguta, Mugirango West katika kaunti ya Nyamira wanamtafuta mwanawao aliyepotea kutoka shule ya msingi ya kutwa ya Etono SDA. Mwanafunzi huyu anadaiwa kupotea kutoka shuleni humo.
Advertisement