Back to home
Shabana, M. Seal na Sharks washinda mechi za raundi ya 19 KPL
video
C
Citizen TV (Youtube)February 1, 2026
2h ago
Bao la kipekee la mshambulizi Brian Michira lililofungwa kupitia mkwanju wa penalti dakika ya 28 kipindi cha pili lilitosha kuipa shabana ushindi wa bao moja bila jibu katika mechi ya ligi kpl iliyochezwa uwanjani gusii
Advertisement
Advertisement




