Back to home

Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ameonya dhidi ya wizi wa nguvu za umeme

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 10, 2026
1w ago
Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ameonya dhidi ya wizi wa nguvu za umeme. Akizungumza katika eneo la Meru, Wandayi amesema kuwa kumekuwa na visa vya umeme kuwekwa kinyuma na sheria.
Advertisement