Back to home

Waziri wa vyama vya ushirika wycliffe oparanya amesema zaidi ya ksh.360m zilizofujwa zimerejeshwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 17, 2026
7h ago
Waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya amesema kuwa zaidi ya shilingi milioni 360 zilizofunjwa katika muungano wa vyama vya ushirika nchini KUSCCO zimerejeshwa.
Advertisement