Back to home

IEBC yalalamikia idadi ndogo ya wakenya waliosajiliwa upya

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 17, 2026
1d ago
Tume ya uchaguzi nchini imelalamika idadi ndogo ya wakenya wanaojitokeza kujisajili kama wapiga kura. Inasemekana kuwa, wakenya wengi bado hawajakuMbatia zoezi linaloendelezwa na maafisa wa IEBC nchini hasaa miongoni mwa vijana.
Advertisement