Back to home
Wanyamapori wasumbufu Lamu
video
C
Citizen TV (Youtube)February 20, 2026
1w ago
Shirika la MUHURI limemtaka Raia wa Kigeni anayefuga wanyama pori katika Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu kuwalipa fidia waathiriwa walioumizwa au mimea yao kuharibiwa na wanyamapori hao la sivyo watamchukulia hatua za kisheria.
Advertisement
Advertisement
