Back to home

Timu ya voliboli ya A-Plus yashiriki Ligi Kuu kwa mara ya kwanza

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 24, 2026
2h ago
Timu ya voliboli ya a-plus itasaka ushindi wake wa kwanza kwenye ligi kuu ya wanawake itakapochuana na dci hapo kesho katika uwanja wa kasarani.wageni hao ligini watakuwa na kibarua kigumu dhidi ya dci ambao hawajapoteza mechi yoyote kufikia sasa.
Advertisement