Back to home

Mwanamume anauguza majeraha hospitalini baada ya kuchomwa kwa maji moto na mpenzi wake

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 25, 2026
3h ago
Mwanamume mmoja anauguza majeraha baada ya kuchomwa kwa maji moto na mwanamke anayesemekana kuwa mpenzi wake. Inadaiwa kuwa Steve Godia alivamiwa na mshukiwa usiku wa kuamkia tarehe 14 Februari akiwa nyumbani kwake huko Umoja 1, Nairobi.
Advertisement