Back to home

Wakazi wa Ngechek Nandi wapelekewa huduma za serikali kijijini

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 25, 2026
1h ago
Mamia ya wakazi wa kijiji cha Ngechek na maeneo jirani katika Kaunti ya Nandi, wamepata afueni baada ya serikali kuu kupeleka huduma muhimu za kiserikali mlangoni pao kupitia mpango wa 'Huduma Mashinani’.
Advertisement