Back to home

Shirika la wahifadhi wa mbuga la Laikipia litashirikiana na KWS kukabliana na wanyama pori

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 26, 2026
2h ago
Shirika la wahifadhi wa mbuga la Laikipia limesisitiza ushirikiano na KWS ili kukabiliana na ongezeko la visa vya migogoro kati ya binadamu na wanyamapori katika Kaunti ya Laikipia.
Advertisement