Back to home
Mombasa: Baadhi ya kina mama wazuuliwa hospitalini kwa kushindwa kulipa bili za hospitali
video
N
NTV Kenya (Youtube)February 26, 2026
5h ago
Furaha ya kujifungua iligeuka kuwa majonzi kwa baadhi ya kina mama katika Hospitali ya Rufaa ya Pwani, Makadara, Mombasa, baada ya kudaiwa kuzuuliwa wodini kwa kushindwa kulipa bili za hospitali.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the K
Advertisement
Advertisement




