Back to home
Mfungwa aliyeachiliwa Agnes Ngeti akataliwa nyumbani
video
C
Citizen TV (Youtube)March 5, 2026
2h ago
Mwanamke mmoja aliyekaa gerezani kwa miaka 25 katika Gereza la Wanawake la Embu hatimaye ameachiliwa huru. Hata hivyo, furaha ya uhuru wake imegubikwa na huzuni baada ya familia yake kukataa kumpokea nyumbani.
Advertisement
Advertisement
