Back to home
Udhibiti wa kamari: Peter Maina achukua madaraka, ongezeko la mageuzi yanatarajiwa
video
C
Citizen TV (Youtube)March 5, 2026
2h ago
Mkurugenzi mpya wa mamlaka ya udhibiti wa kamari kenya Peter Maina Karemi ametwaa jukumu hilo kutoka kwake Peter Mbugi. Karemi sasa akiwataka wakenya watarajie mageuzi katika sekta ya kamari nchini ikiwemo kudhibiti matangazo yote ya uchezaji kamari nchini hadi wakati wa usiku.
Advertisement
Advertisement





