Back to home
Wahandisi wanawake Pwani
video
C
Citizen TV (Youtube)March 6, 2026
11h ago
Taasisi ya uhandisi nchini (IEK) imesema kuwa asilimia 40 ya wahandisi kutoka Pwani ni wanawake kufuatia ongezeko la wanafunzi wa kike wanaojiunga na vyuo vya mafunzo ya kiufundi.
Advertisement
Advertisement



