Back to home
Kaunti ya Siaya pamoja na shirika la Nishati na KenGen zitashirikiana kuzalisha umeme wa Nuclear
video
C
Citizen TV (Youtube)March 10, 2026
2h ago
Serikali ya Kaunti ya Siaya ikishirikiana na mamlaka ya Nishati ya Nuclear (NuPEA) pamoja na KenGen imeanzisha mchakato wa kuwaelimisha wakazi na kufafanua kuhusu mradi uliopendekezwa wa kujenga kituo cha kuzalisha umeme wa Nuclear.
Advertisement
Advertisement





