Back to home

Kamati ya Olimpiki ya kitaifa nchini (NOC-K) imefanya kikao chake cha kwanza

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 18, 2026
1h ago
Kamati ya Olimpiki ya kitaifa nchini (NOC-K) imefanya kikao chake cha kwanza wa mameneja wa timu walioteuliwa ambao watasimamia timu za kenya kwenye michezo ya jumuiya ya madola 2026, itakayofanyika kuanzia julai 24 hadi agosti 2 2026 huko glasgow, Scotland.
Advertisement