Back to home

Klabu ya Kibera soccer women imeibua masaibu yanayowakumba katika ligi kuu ya wanawake

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 19, 2026
2h ago
Klabu ya Kibera soccer women imeibua masaibu yanayowakumba katika ligi kuu ya wanawake nchini KWPL. Haya yanajiri huku mgomo wa vilabu katika ligi kuu ya wanawake nchini ukiendelea
Advertisement