Back to home

Kanisa Katoliki lamkosoa William Ruto kwa lugha chafu

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 19, 2026
2h ago
Jioni ya leo, kanisa katoliki limewakashifu viongozi wa kisiasa akiwemo rais William Ruto kwa matumizi ya lugha chafu. Askofu mkuu wa kanisa katoliki Maurice Muhatia akisema matamshi ya rais yaliyoshuhudiwa karibuni yanadunisha pakubwa hadhi ya afisi yake.
Advertisement