Back to home
Rais William Ruto akampeni Homa Bay
video
C
Citizen TV (Youtube)March 22, 2026
2h ago
Rais William Ruto kwa mara nyingine ameendelea kuwarushia makombora ya kisaisa wapinzani wake sasa akisema, aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua hapaswi kupewa nafasi yoyote ya uongozi nchini. Badala yake akimshutumu Gachagua kwa kueneza ukabila. Akizungumza huko Homa Bay, Rais
Advertisement
Advertisement



