Back to home
Gachagua awarai Gen Z kujisajili kama wapiga kura
video
C
Citizen TV (Youtube)March 26, 2026
3h ago
Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amewarai vijana wa kizazi cha Gen Z kujisajili kwa wingi kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka ujao, na kuusaidia upinzani kumng’atua Rais William Ruto Mamlakani mwaka ujao.
Advertisement
Advertisement


