Back to home

Harambee Stars walazimishwa na Estonia, wanajiandaa na Grenada kwa fainali ya tatu

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 28, 2026
2h ago
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars ililazwa na Estonia kwa matuta matano kwa manne baada ya sare ya bao moja nchini Rwanda. Stars watachuana na Grenada kuwania mshindi wa tatu.
Advertisement