Back to home
Timu ya taifa Harambee stars imemaliza katika nafasi ya tatu kwenye mchuano wa fifa
video
C
Citizen TV (Youtube)March 31, 2026
1h ago
Timu ya taifa Harambee stars imemaliza katika nafasi ya tatu kwenye mchuano wa fifa wa kirafiki kwa kuilaza grenada mabao matatu kwa nunge. Austine odhiambo, ryan ogam na zech obiero walifunga bao kila mmoja wao.
Advertisement
Advertisement





