Back to home

Usajili wa wapiga kura Kajiado waendelea

video
C
Citizen TV (Youtube)
April 10, 2026
3h ago
Huku Idadi Ndogo ya wanaojisajili kuwa wapiga kura wapya ikizidi kushuhudiwa katika vituo mbali mbali vya kuwasajilisha wapiga kura wapya katika kaunti ya Kajiado wito unazidi kutolewa kwa Vijana kujitokeza na kujisajili.
Advertisement