Back to home

Wakazi wa vijiji Nyamira, waaliandamana kulalamikia ukosefu wa umeme vijijini humo

video
C
Citizen TV (Youtube)
April 21, 2026
3w ago
Wakazi wa vijiji vya Riechieri, Gesweswe, Nyamarimba, Nyameko na Kiemuma eneo bunge la Mugirango Kaskazini katika kaunti ya Nyamira, waaliandamana kulalamikia ukosefu wa umeme vijijini humo kwa zaidi ya miezi minne sasa.
Advertisement