Back to home

Gicheru na Mwangi washinda mbio za baiskeli Sokoke, kukusanya fedha za uhifadhi wa msitu

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 3, 2026
3h ago
Awamu ya nane ya mashindano ya baiskeli ya Milimani kwenye msitu wa Sokoke imefikia tamati hii leo huko Watamu, Kaunti ya Kilifi, huku Ephantus Gicheru na Titus Mwangi wakimaliza kwenye nafasi ya kwanza pamoja.
Advertisement