Back to home

Mashine za kamari haramu zanaswa Kariobangi North

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 12, 2026
2h ago
Polisi katika eneo la Kariobangi North hapa jijini nairobi wamenasa na kuteketeza mashine zaidi ya ishirini na tano za kamari haramu mtaani humo.
Advertisement